Masharti

Upatikanaji na utumiaji wa Tanzania Tech ndani na nje ya Tanzania unawezeshwa na Tanzania Tech (watumiaji wa tovuti hii wanaweza kuona matangazo ya biashara katika kurasa kadhaa zinazotolewa na kitengo cha kibiashara cha Tanzania Tech, kwa masharti yafuatayo:

1. Kwa kutumia Tanzania Tech unakubaliana na kanuni hizi, ambazo zinaanza kutumika mara tu unapoanza kuingia kwenye tovuti za Tanzania Tech. Endapo haukubaliani na masharti haya tafadhali sitisha kutumia na /au kuchangia kwenye tovuti za Tanzania Tech.

2. Tanzania Tech inaweza kubadilisha masharti haya mara kwa mara kulingana na ukurasa au tovuti, hivyo ni muhmu uzingatie na kutembelea kurasa hizi mara kwa mara. Utumiaji wako wa Tanzania Tech utachukuliwa kuwa umekubaliana na masharti yaliyoongezwa au yaliyopo. Endapo haukubaliani, unatakiwa kuacha kutumia tovuti hii mara moja.

Masharti ya matumizi yanaendelea Hapa