Who touched my phone

Maoni: 3.00 (Kura: 1)

Kama unataka kujua mtu yoyote aliye shika simu yako bila wewe kujua basi app hii ni nzuri sana kwako, app hii inaweza kuona app ambazo zimetumika bila wewe kujua.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanaona simu yako imekuwa ikishikwa bila wewe kujua basi app hii itakusaidia kuweka ulinzi wa aina yake, app hii itaweza kuonyesha ni watu gani ambao wameshika simu yako kwa kumpiga picha mtu huyi ikiwa pamoja na kuonyesha app alizitumia kama mtu huyo atafanikiwa kuingia ndani ya simu yako.

App hii ni nzuri sana na ni rahisi sana kutumia kwani unachotakiwa kufanya ni kuinstall na kuwasha app hii na sasa utaweza kumjua mtu ambaye anashika simu yako bila wewe kujua au kujua apps ambazo mtu ametumia baada ya kushika simu yako.

Maoni ya Watumiaji
Toa Maoni Hapa
Maoni Kutokana na 1 Kura and 0 Maoni ya Watumiaji
5 Star
0
4 Star
0
3 Star
0
2 Star
0
1 Star
0
Toa Maoni Hapa
Hatutoi barua pepe yako kwa mtu yoyote.
Habari za Apps
Apps Nyingine Nzuri
Tumia QR Code
  • Kipengele: Ubunifu
  • Mfumo: Android
  • Mtengenezaji: MidnightDev
  • Ukubwa: 5.4M
  • Downloads: 34
  • Leseni: Free
  • Imewekwa: April 18, 2020
Editor's Choice
SnapTik
Vifaa