Video Downloader

Maoni: 1.00 (Kura: 2)

Video Downloader hii ni app nzuri ambayo itakusaidia kupakua nyimbo na video kwa urahisi kutoka kwenye website yoyote. App hii ni rahisi sana kutumia.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kudownload nyimbo mpya au video mpya kwa urahisi basi jaribu app hii ya Video Downloader. App hii inakupa awezo wa kudownload kutoka kwenye website yoyote ile kwa urahisi na haraka.

Unachotakiwa kufanya ni kutafuta jina la nyimbo au video ingia kwenye tovuti husika kisha app hii itakusaidia kupakua nyimbo au video zilizopo kwenye website hiyo kwa haraka na kwa urahisi.

Maoni ya Watumiaji
Toa Maoni Hapa
Maoni Kutokana na 2 Kura and 0 Maoni ya Watumiaji
5 Star
0
4 Star
0
3 Star
0
2 Star
0
1 Star
0
Toa Maoni Hapa
Hatutoi barua pepe yako kwa mtu yoyote.
Habari za Apps
Apps Nyingine Nzuri
Tumia QR Code
  • Kipengele: Media
  • Mfumo: Android
  • Mtengenezaji: InShot Inc.
  • Ukubwa: 9.5M
  • Downloads: 10
  • Leseni: Free
  • Imewekwa: April 22, 2020
Editor's Choice
SnapTik
Vifaa