Translate All, Text & Voice Translator – Tranit

Maoni: 5.00 (Kura: 1)

Kama umetumiwa meseji whatsapp na unataka kuona tafsiri yake basi app hii ni nzuri sana kwako, app hii itakusaidia kutafsiri maandishi yoyote kwa haraka.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kutafsiri meseji zako mbalimbali kwa haraka, au kama unataka kujua alicho andika mtu kwa lugha ambayo hujui basi app hii ni moja kati ya suluhisho kubwa sana. App hii itakusaidia sana kuweza kutafsiri meseji moja kwa moja bila kufungua kamusi yoyote. Yani utaweza kujua tafsiri kwa kugusa tu maandishi ambayo unataka kufasiri na moja kwa moja utapata maana ya maneno unayotaka.

Maoni ya Watumiaji
Toa Maoni Hapa
Maoni Kutokana na 1 Kura and 0 Maoni ya Watumiaji
5 Star
0
4 Star
0
3 Star
0
2 Star
0
1 Star
0
Toa Maoni Hapa
Hatutoi barua pepe yako kwa mtu yoyote.
Habari za Apps
Apps Nyingine Nzuri
Tumia QR Code
  • Kipengele: Vifaa
  • Mfumo: Android
  • Mtengenezaji: Tranit Team
  • Ukubwa: 8.7M
  • Downloads: 35
  • Leseni: Free
  • Imewekwa: April 18, 2020
Editor's Choice
SnapTik
Vifaa