Simu Yako

Maoni: 3.67 (Kura: 3)

Simu yako ni App nzuri inayokusaidia kuangalia sifa za undani za simu yako ya Android, app hii inaweza kukusaidia kujua uwezo wa simu yako.

Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako. Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.

App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.

Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.
Maoni ya Watumiaji
Toa Maoni Hapa
Maoni Kutokana na 3 Kura and 0 Maoni ya Watumiaji
5 Star
0
4 Star
0
3 Star
0
2 Star
0
1 Star
0
Toa Maoni Hapa
Hatutoi barua pepe yako kwa mtu yoyote.
Habari za Apps
Apps Nyingine Nzuri
Tumia QR Code
  • Kipengele: Vifaa
  • Mfumo: Android
  • Mtengenezaji: Tanzania Tech Media
  • Downloads: 26
  • Leseni: Free
  • Imewekwa: April 21, 2020
Editor's Choice
SnapTik
Vifaa