Prima Cartoonizer

Maoni: 3.00 (Kura: 1)

Prima Cartoonizer ni programu nzuri ya kubadilisha picha yoyote kuwa na muonekano wa katuni, programu hii ni rahisi kutumia na inafanya kazi vizuri sana.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kubadilisha picha yoyote kuwa na muonekano kama wa katuni basi programu ya Prima Cartoonizer ni programu ya muhimu kwako.

Uzuri wa programu hii ni kuwa ni rahisi kutumia sana tofauti na programu ya Adobe ambayo ni lazima kuwa na ujuzi ndipo uweze kutengeneza picha zako ziwe na muonekano kama katuni. Programu hii inapatikana kwa watumiaji wa kompyuta lakini pia unaweza kujaribu toleo la online ambalo utaweza kutumia bila kuinstall programu yoyote kwenye kompyuta yako.

Maoni ya Watumiaji
Toa Maoni Hapa
Maoni Kutokana na 1 Kura and 0 Maoni ya Watumiaji
5 Star
0
4 Star
0
3 Star
0
2 Star
0
1 Star
0
Toa Maoni Hapa
Hatutoi barua pepe yako kwa mtu yoyote.
Habari za Apps
Apps Nyingine Nzuri
Tumia QR Code
  • Kipengele: Ubunifu
  • Mfumo: Windows
  • Mtengenezaji: Prima Cartoonizer
  • Ukubwa: 47.28 MB
  • Downloads: 30
  • Leseni: Trial
  • Imewekwa: April 20, 2020
Editor's Choice
SnapTik
Vifaa