NewPipe

Maoni: 2.67 (Kura: 3)

Newpipe ni programu nzuri ambayo itakusaidia sana kudownload nyimbo pamoja na video kutoka kwenye mtandao wa YouTube kwa urahisi na haraka.

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kupakua video za YouTube kwa namna yoyote au unataka kupakua nyimbo mpya kutoka YouTube basi app hii itakufa sana. App hii itakupa nafasi ya kudownload video na mp3 moja kwa moja kutoka kwenye mtandao wa YouTube. 

App hii ni rahisi kutumia na inafanana sana na YouTube hivyo unaweza kutumia kwa urahisi na haraka. Ndani ya app hii kama unataka kupakua video au mp3, chagua sehemu ya download chini ya video husika kisha download kwa kuchagua format kati ya mp3 au mp4. Ni rahisi hivyoo.. App hii haipatikani Play Store.

Maoni ya Watumiaji
Toa Maoni Hapa
Maoni Kutokana na 3 Kura and 0 Maoni ya Watumiaji
5 Star
0
4 Star
0
3 Star
0
2 Star
0
1 Star
0
Toa Maoni Hapa
Hatutoi barua pepe yako kwa mtu yoyote.
Habari za Apps
Apps Nyingine Nzuri
Tumia QR Code
  • Kipengele: Media
  • Mfumo: Android
  • Mtengenezaji: Team NewPipe
  • Ukubwa: 6.9 MB
  • Downloads: 14
  • Leseni: Open Source
  • Imewekwa: April 19, 2020
Editor's Choice
SnapTik
Vifaa