Facebook Gaming

Maoni: 4.00 (Kura: 1)

Facebook Gaming ni app nzuri ya game kutoka facebook, App hii itakuruhusu kuangalia Game live kuonyesha game zako live pamoja na mambo mengine mengi.

Kampuni ya Facebook imekuja na app yake mpya ya Facebook Gaming, app hii ni nzuri sana kwa wapenzi wa game ambapo sasa utaweza kuonyesha jinsi unavyo cheza game kwa marafiki zako. App hii inakuja na sehemu za kuangalia na kucheza game ikiwa pamoja na sehemu nyingine mpya mbalimbali.

Maoni ya Watumiaji
Toa Maoni Hapa
Maoni Kutokana na 1 Kura and 0 Maoni ya Watumiaji
5 Star
0
4 Star
0
3 Star
0
2 Star
0
1 Star
0
Toa Maoni Hapa
Hatutoi barua pepe yako kwa mtu yoyote.
Habari za Apps
Apps Nyingine Nzuri
Tumia QR Code
  • Kipengele: Burudani
  • Mfumo: Android
  • Mtengenezaji: Facebook
  • Downloads: 17
  • Leseni: Free
  • Imewekwa: April 21, 2020
Editor's Choice
SnapTik
Vifaa